Emma Asembo Girl
You are now connected on messenger
18/12/2024
Hello how are you?
Yes I am fine I Hope you are also fine
Yes I am fine.
That's great na umenitupa siku hizi jameni
Zii shughuli za huku na kule ndugu si kupenda kwangu kukunyamazia
Lazima tupambane tu ata mimi shughuli za huku na kule ndio maana nimepotea sana.
Yeah na siku hizi uko wapi juu niliuliza Godi akaniambia eti hauko home
Saa hizi niko tu huku jijini tunapambana tu na masomo na shughuli za huku na kule ili angalau nisikose ata shhillingi ishirini mfukoni
19/12/2024
2 unread messages
Hiyo ni poa
Uwe na siku njema