Melo Melody
You are now connected on messenger
Today
Hello
Yes how are you?
I am fine na ya kupotea
Huku masomo tu ndio tunapambana nayo
Hiyo ni poa na mnafunga lini?
Around 20th December
Hiyo ni poa ata sisi around hapo ndio tutafunga
Alafu nyinyi pia mnarudi kufanya exam January vile sisi ama nyinyi mnafanya mwaka huu
Imagine tunarudi kufanya exam January. Nimeudhika sana mimi sipendi nikiwa kwenye likizo na bado niko na stress za exam. Lakini itabidi tu tuzoee
Lisilo bidi hubidi. Jikaze tu utamaliza.
Bila shaka. Alafu c uwe na siku njema
Nawe pia
👊👊👊